Isaiah 42:15

15 aNitaharibu milima na vilima
na kukausha mimea yako yote;
nitafanya mito kuwa visiwa
na kukausha mabwawa.
Copyright information for SwhNEN